Wilaya ya Malindi

Nguzo ya Vasco da Gama na Bahari ya Hindi


Wilaya ya Malindi
Mahali paWilaya ya Malindi
Mahali paWilaya ya Malindi
Mahali pa Wilaya ya Malindi katika Kenya
Nchi Kenya
Mkoa Pwani
Mji mkuu Malindi
Eneo
 - Jumla 7,751 km²
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 544,303

Wilaya ya Malindi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Malindi.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kilifi.

  1. Ofisi ya Taifa ya Takwimu

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy